![]() |
Lewis Hamilton |
Lewis Hamilton ameweka rekodi katika mashindano ya Japani Grand Prix {GP}, kwa kumpiku mwenzake na mshindani wake Nico Rosberg kwa Sekunde 0.24.
Waendesha magari hawa wawili wote wa Mercedes walikua katika ligi yao wenyewe ambapo nafasi ya tatu ikishikiliwa na wa Williams Valtteri Bottas nyuma yake au nafasi ya nne akiwepo wa McLaren Jenson Button. Ampambo katika wote wakiwemo wa Ferrari hakuna aliyekuwa akionesha kumpiku Hamilton. Hamilton sasa anapointi 29 akiwa pointi 3 mbele nyuma yake akiwepo Rosberg na ligi inaendelea wikendi hii yaani jumamosi.
No comments:
Post a Comment