![]() |
Full Time Katika uwanja wa Emirates |
![]() |
Arda Turan aliefunga goli moja la pekee dhidi ya Juventus ambapo Gianluigi "Gigi" Buffon alikua hajafungwa goli toka msimu huu uanze. |
![]() |
Basel FC vs Liverpool |
![]() |
Cristian Ronaldo sasa afikisha goli 69 zikiwa zimebaki 2 kufikia rekodi ya mpachika mabao UEFA CHAMPIONS wa mda wote inayoshikiliwa na Raul Gonzalez. ya goli 71 |
No comments:
Post a Comment