Wednesday, 1 October 2014

YANAYOJIRI 2014 CAF CHAMPIONS LEAGUE

Kocha wa zamani wa Bafana Bafana Philippe Troussier ambaye alikua akifundisha klabu ya Tunisia "CS Sfaxien" ambapo ripoti kutoka katika klabu hiyo kuwa ameacha kufundisha timu hiyo. Hiyo imetokea baada ya kufungwa na kutolewa na timu ya AS Vita Club ya DRC katika hatua ya nusu finali ambapo ilibamizwa 4-2 kwa magoli ya nyumbani na ugenini. Kocha huyu pia ambae ana miaka 59 amewahi kufundisha Afrika Kusini mwaka 1998 na pia timu za Nigeria, Qatar na Japan.

 
Kocha Phillippe Troussie
















Matokeo ya mechi Zilizopita klabu bingwa Afrika

28/09/14 TP Mazembe 3-2 Entente Sportive de Setif....Entente Setif ikasonga kwa goli nyingi za ugenini
27/09/14 Club Sportif Sfaxien 1-1 AS Vita Club.....AS Vita Club ikasonga  mbele

Mechi zinazofuata ambazo ni Fainali
25/10/14 Entente Sportive de Setif vs AS Vita Club
01/10/14 AS Vita Club vs Entente Sportive de Setif 

Wafungaji magoli mpaka sasa
  • Knowledge Musona (Kaizer Chiefs) - 5
  • Kingston Nkhatha (Kaizer Chiefs) - 3
  • Ndombe Mubele (AS Vita Club) - 3
  • Mandla Masango (Kaizer Chiefs) - 1
  • Matthew Rusike (Kaizer Chiefs) - 1
  • Morgan Gould (Kaizer Chiefs) - 1
  • Mulomowandau Mathoho (Kaizer Chiefs) - 1
  • Siphiwe Tshabalala (Kaizer Chiefs) - 1
Waliochukua Ubingwa Klabu bingwa Afrika hivi karibuni
2013: Al-Ahly (Egypt)
2012: Al-Ahly (Egypt)
2011: ES Tunis (Tunisia)
2010: TP Mazembe (DRC)
2009: TP Mazembe (DRC)
2008: Al-Ahly (Egypt)
2007: Etoile du Sahel (Tunisia) 
2006: Al-Ahly (Egypt)
2005: Ah-Ahly (Egypt)
2004: Enyimba (Nigeria)
2003: Enyimba (Nigeria)

No comments:

Post a Comment